Historia ya Ubungo Christian Centre

Ubungo Christian Centre ni sehemu ya kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG). Kanisa la TAG lipo kwa ajili ya kumuabudu Mungu katika Roho na kweli, katika kuuambia ulimwengu juu ya habari za Yesu na kuwapeleka waamini katika kumjua zaidi Yesu kupitia sifa, kuabudu na neno chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu. 

Maono ya kanisa la TAG ni kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu Kristo, kitaifa na kimataifa wakibatizwa katika Roho Mtakatifu huku tukiwa na ibada za kiroho, mafundisho halisi na sahihi ya neno la Mungu na hivyo kuongezeka makanisa. 

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx