UCCOnline !

Tembelea ukurasa huu kufahamu kuhusu huduma zetu zote zinazopatikana online.

IBADA-LIVE ! - Ibada za kila jumapili (na wakati mwingine inapohitajika) zinazorushwa mubashara kutoka kanisa la Ubungo Christin Centre. Kila Jumapili kuanzia saa moja asubuhi unaweza kushiliki ibada moja kwa moja kwa kutembelea ukurasa wetu wa IBADA - LIVE !

 

INJILI-LIVE ! - Huduma ya mikutano ya injili inayorushwa mubashara kutoka mahali ambapo Kanisa la Ubungo Christian Centre limekwenda kushiriki huduma likishilikiana na kanisa la wenyeji.